Kwa wanaume tu!

Kwa wanaume tu!

KadogooCate

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
484
Reaction score
1,100
Wasalaam!

Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au kazi yoyote zile zinazoonekana hazina hadhi, wewe unamkwepa na kama mlikuwa mnawasiliana unakata mawasiliano kwa nini?

Kwamba wenye kazi hizo tajwa hapo juu ni vimeo, au hawana hadhi au wana nini? Mnataka mdanganywe ooh, mi ni banker, teller, nna botique yangu sinza niko TRA pale makao makuu! Alafu mkija kugundua ukweli mnawalaumu wanawake wana fake maisha?

So which is better kwenu hebu wekeni wazi, tuendelee kuwadanganya ili twende sawa au tuwe wakweli tu?

Majibu yenu ni muhimu.

Have a good time to finalize the weekend!
[emoji8]
 
Ah kumbe na nyie inawauma eeh... Basi ata sie mkituuliza hela unayo alafu tukajibu hatuna sii mnakatisha mawasiliano.... Haman mtu anayetaka kuwa associated na mtu aliyejichokea. Works both sides
Kwa hiyo hao mama lishe na wauza mkaa wamejichokea?
 
Hii taarifa naipinga kabisa. Mungu bado hajaumba mwanaume wa kubagua wanawake hasahasa akiwa mrembo, akiwa na kauli nzuri au akiwa na mzigo mkubwa aka chura.
 
Kuna mmoja alinivutia mvuto ukasinyaa kabisa alivyodanganya yupo degree kumbe hakuna. Hakunivutia sababu ya degree, hata angekuwa bekitatu ingekuwa sawa, ila kitendo cha kudanganya nilivyojua ilishusha credibility yake sana.
 
Pole mkuu yaliyokukuta unapaswa kujua tu huu ni ulimwengu tu una mambo mengi
Pole sana
 
Kuja kwangu hivyo hivyo ulivyo nitakupenda tu
Wasalaam!

Wakati mwingine wanaume hamjui mnachotaka au mnakuwa mnawaza nini! Unakutana na mdada anakueleza tu ukweli kwamba kazi yake ni kuuza mkaa, au mama ntilie, au mfagiaji wa maofisini au kazi yoyote zile zinazoonekana hazina hadhi, wewe unamkwepa na kama mlikuwa mnawasiliana unakata mawasiliano kwa nini?

Kwamba wenye kazi hizo tajwa hapo juu ni vimeo, au hawana hadhi au wana nini? Mnataka mdanganywe ooh, mi ni banker, teller, nna botique yangu sinza niko TRA pale makao makuu! Alafu mkija kugundua ukweli mnawalaumu wanawake wana fake maisha?

So which is better kwenu hebu wekeni wazi, tuendelee kuwadanganya ili twende sawa au tuwe wakweli tu?

Majibu yenu ni muhimu.

Have a good time to finalize the weekend!
[emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom