Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Hii bwana ilitutokea kwenye group letu tulikuwa tunajijua tupo wanawake tupu

Kumbe kuna mwanaume na anaingia inbox kutongoza mwisho wa siku watu wakaongea kuna mwanaume humu anatutongoza na kuleftishwa hapohapo
 
Hahahaha[emoji23]
 
Huna adabu hicho kimdomo kuna siku takifyonza mpaka[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]kiache misonyo...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teenaah uniache wee babuuuh lol, unataka mjukuu mkweo akuue? Unajua anapata utamu gan ktk mdomo angu? Uwiiii
 
Hii bwana ilitutokea kwenye group letu tulikuwa tunajijua tupo wanawake tupu

Kumbe kuna mwanaume na anaingia inbox kutongoza mwisho wa siku watu wakaongea kuna mwanaume humu anatutongoza na kuleftishwa hapohapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teenaah uniache wee babuuuh lol, unataka mjukuu mkweo akuue? Unajua anapata utamu gan ktk mdomo angu? Uwiiii
Usinitamanishe sasa loh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].. Maana siku hizi naambiwa sio asali tena ni pipi kifua[emoji23]
 
Simu ya kidume:
1.Betting Group
2.Grupu la familia
3.Grupu la kikao cha harusi au kamati
4.Grupu la pono
5.Grupu la watu wa ofisini

Simu ya demu:
1.Grupu la vichekesho
2.Grupu la udaku na umbeya
3.Grupu la kungwi na mapenzi
4.Grupu la simulizi za mapenzi
5.Grupu la vikoba
6.Grupu la watu wa shule ya msingi
7.Grupu la wanachuo
8.Grupu la majirani mtaani
9.Grupu la wauza nguo,simu
10.Grupu la marathons (madanga)
11.Grupu la wauza vipodozi
 
Kuna jamaa alikua anamuona mke wake yupo busy sana na group flani la WhatsApp. Limeandikwa "Wanawake Tu" sasa jamaa akawa anatamani sana kuona ndani wanadiscuss nini, so akachukua simu ya mke wake anakuta mke amefuta kila kitu. Duh.

Sasa kuna siku akachukua simu ya mke wake, akamtext Admin akamwambia hii namba ya shosti wangu naomba muunge, afu akafuta izo meseji baada ya kujibiwa. Jamaa akaungwa.

Aisee, aliyoyakuta mke wake anayaongea huko alichoka. Kuhusu michepuko, kuhusu yeye kutoperform vizuri, yaan alijuta.
 
Back
Top Bottom