Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

Ila mwanangu huwa una majibu konki๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
min -me anajifariji ni watamu ๐Ÿ˜†
 
Mdada wa hivi mzuri sana ukiwa nae stories haziishi , sio unakaa na mdada unatoka kuchepuka anakuuliza umetokea wapi una mwambia nilikua na kikao na Alex fagason anakuambia pole na kazi beibiiii๐Ÿ˜…
Duuh kwamba unapenda wanawake wajuaji, maana si huwa mnasema mnapenda wanawake wa aina hiyo wale wa kila kitu ndio, aise hata mimi ningekuwa mwanaume nisingependa mwanamke kama mimi so nakushangaa wewe
 
What the hell bob, ๐Ÿ™„ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ