tunaishi nae compound moja ana mke
sina muda nao kabisa kabisa
one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa
from there kila siku ananipigia,ananiuliza kuhusu love affairs zangu,anataka tukae mahali tuongee.
nimechange no kwa ajili ya mpuuzi yule
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote
tulieni na wake zenu tulieni
wkendi njema tulieni na wake zenu. acheni unafiki
nahama na nyumba kabisa

watu wazima ovyo my dia eti wkend twende wapi?mi mkewe?
Afu kisha mwambia ndo utapata nini!akinipigia tena namwambia mkewe
nahamia nyumba ingine we k vipi?