Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Inategemea na uwezo, kama uwezo wako unamudu, Kitanda, Tv, Mziki, Pc, Jiko but sio Muhimu, kama uwezo kawaida kitanda na jiko. kinachofanya geto liwe zure au baya ni usmart wa mwenye ghetto
GodoroHabari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho chumba au stoo ?Kitanda, Godoro, maisha na muziki, vyombo na jiko. (Tv kama inawezekana & king'amuzi chako)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo watakaokuja kusema kunguni!!
Binafsi sipendi makorokocho mengi ila hewa iwe ya kutosha mpangilio wa vitu kuwe na kiti moja safi Kama vile vya plastic coz nikiwa nawaza au nasoma huwa napenda nikae ktk pozi la vile viti and I don't know why napenda viti vile!!
Ndivyo nilivyoanza. Hivyo ndivyo nilivyomshauri, pia hutegemeana na ukubwa wa chumba.Hicho chumba au stoo ?
piga ganja achana na sigara
1. PangaHabari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app