Kwa wanaume wenzangu

Kwa wanaume wenzangu

Habari wana forums naomba 2share mawazo wanaume zipi sifa au mambo muhimu kwenye chumba cha kulala cha mwanaume

Inategemea na uwezo, kama uwezo wako unamudu, Kitanda, Tv, Mziki, Pc, Jiko but sio Muhimu, kama uwezo kawaida kitanda na jiko. kinachofanya geto liwe zure au baya ni usmart wa mwenye ghetto
 
Hahahhah aaah kweli kamand....

Chumba cha mwanaume kikikosa Panga, manati,nondo, shoka bila kusahau kondomu na vya mfano wake baasi hicho chumba anatakiwa aishi mwajuma
[/QUOTE]
 
Wapo watakaokuja kusema kunguni!!

Binafsi sipendi makorokocho mengi ila hewa iwe ya kutosha mpangilio wa vitu kuwe na kiti moja safi Kama vile vya plastic coz nikiwa nawaza au nasoma huwa napenda nikae ktk pozi la vile viti and I don't know why napenda viti vile!!
 
Kitanda(kirefu kwnd juu ),sofa 1tu, bila kusahau charger kama una cm na kuna E-supplly,hanger yanguo kwn haipendez ku2ndk nguo kwny misumali , NOTE ; haipendez ukiw na waxhkaj room kukaa kitandan
 
Back
Top Bottom