Kwa wanaume

Mzuanda ukitaka mwanaume asiyeoga aoge kila mara jifunge taulo mwambie tukaoge wote hamna atakaekataa,kuhusu nguo ukiona chafu ziloweke na muandalie zingine,kwapa na hapo chini unaweza kumsaidia akizoea ataendelea mwenyewe.Mswaki mwambie hamna busu mpaka akapige mswaki.
 

😛ound:😛ound:
 

He he he he he
Kweli nitajiju.

Hili somo linawafaa akina dada walioolewa zaidi, sio akina kaka waliooa.
Na usafi sio kwa ajiri ya kumridhisha mpenzi/mwenza wako kitandani tu, kwa afya ya kila mtu.
 

Kweli dearest...
Nenda nae bafuni apate raha ya kusuguliwa mgongo kila ukiona anaonyesha uvivu kwenda kuoga...mwishowe atazoea bila hata ugomvi atakua anaoga mwenyewe!Mambo ya kunyoa msaidia...na nguo mpangie!Sidhani kama atavaa chafu wakati umeshamtundikia safi bafuni au umemwekea kitandani!!Mazoea hujenga tabia kwahiyo baada ya muda haya yote atakua anafanya mwenyewe tena kwakupenda badala ya kujilazimisha!!
 
Lakin za kwapa za kiume hazinyolewagi
Ni kwa ajiri ya kuongeza mzuka kwa mwanamke wakati wa kunanii
 
Shukran dear naona umewapa vyao nina iman umewagusa walio wengi mpendwa, hebu nyie wanaume jirekebisheni msiwape shida wenzenu

Za kwapa hazinyolewagi jamani
Nyoeni zenu tu

Hiyo ya kuvaa chupi mara 2 kwa siku kwa wanaume haipo
Ngoma inakatwa wiki nzima
 
Ndio maana nakupenda kwa kunielekeza taratibu na kunisaidia dearest.
 

Mh, kusema ukweli kabisa mengi ya uliyo orodhesha hapo ni magumu kwetu wanaume, labda uwe kama hapo kwenye 'red' Ila na nyie si muwe mnawaambia sio mnajikazatuuuna kuziba pua!!!!
 
wifi usije ukanilemazia kakangu!kwetu tumefundishwa kazi na kujitegemea.manake sasa yy atafanya kazi gani,mikono si itakatika!lol!
 
wifi usije ukanilemazia kakangu!kwetu tumefundishwa kazi na kujitegemea.manake sasa yy atafanya kazi gani,mikono si itakatika!lol!
King'asti acha kakako nibembelezwe bana si ndio mapenzi yenyewe hahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…