CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
khaaaa! yaani nimekuwa muuza chipsi mzushi? kweli leo kiama.
Dogo angalia
Nitakuogesha upupu sasa hivi
Ohooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
khaaaa! yaani nimekuwa muuza chipsi mzushi? kweli leo kiama.
hata wasiponialika nitajialika......navyompenda Lizzy hakuna nitakalokosa whether anataka au hataki.....l.o.l.....Hongera zaidi mpenzi,uliyeanza kazi ngumu kwa hawa lovebirds wawili....kuna kitu nimejifunza kuhusu Lizzy leo....:A S 103::A S 103:Michelle hongera mpenzi kwa kazi ngumu mno... hope watakualika Anniversary yao...
mara hii dearest unasema hivi? kama humtaki CPU sema bwana,naona unamuumiza sasa.....:clock:Kama itakuwepo partner...
CPU wenyewe mbona haonekani au hela ya cafe imeisha?Hahhahah....na bado!
Ohhh hubby...me love you soooo much!Ukiendelea hivi tutazeeka pamoja!Embu kwanza naomba unijibie huyo mzushi Kloro kabla hajaanza uchokozi tena!
Mfamaji haishi kutapatapa!!!zile PM nitakujibu baadae sasa hivi niko bize kidogo, lakini usjali tukutane pale pale
haya ushajua,kaa mbali basi,baki na Halle Berry wako!!!khaaaa! yaani nimekuwa muuza chipsi mzushi? kweli leo kiama.
Tupo half time mkuu, tukirudi tena kwenye mada kipindi cha pili lazima kieleweke. stay tunedmbona mnaichakachua mada?
mara hii dearest unasema hivi? kama humtaki CPU sema bwana,naona unamuumiza sasa.....:clock:
huu wimbo kaimba nani?Atazeeka Kloro na kawivu kake
Sisi hatuzeeki
Through our love, We'll be young forever
Haya wababa mmesikia...kuweni wasafi msiwaboe wenzenu!!!
hata wasiponialika nitajialika......navyompenda Lizzy hakuna nitakalokosa whether anataka au hataki.....l.o.l.....Hongera zaidi mpenzi,uliyeanza kazi ngumu kwa hawa lovebirds wawili....kuna kitu nimejifunza kuhusu Lizzy leo....:A S 103::A S 103:
mara hii dearest unasema hivi? kama humtaki CPU sema bwana,naona unamuumiza sasa.....:clock:
dah! ama kweli leo imekula kwa uporoto, yaani Lizzy ana ulinzi kuliko wa lipumba! khaaaMfamaji haishi kutapatapa!!!
haya ushajua,kaa mbali basi,baki na Halle Berry wako!!!
hata wasiponialika nitajialika......navyompenda Lizzy hakuna nitakalokosa whether anataka au hataki.....l.o.l.....Hongera zaidi mpenzi,uliyeanza kazi ngumu kwa hawa lovebirds wawili....kuna kitu nimejifunza kuhusu Lizzy leo....:A S 103::A S 103:
ara hii dearest unasema hivi? kama humtaki CPU sema bwana,naona unamuumiza sasa.....:clock:
huu wimbo kaimba nani?
Dearest nlikua na wasiwasi hatokubali ombi langu...ila nashukuru karudi niliyempenda!!
Hehheheeh embu tujue ulichojifunza dearest.....!
Halaf michelle bana, yaani anamsukumiza Lizzy kwa mlalahoi CPU ili yeye apate chansi ya kujilengesha kwa faifu star klorokwini bila competition.
tangu ubadilishe avatar unaongea mapointi kweli aiseeha ha haaaaaa......when in love,you can be too soft and a humble....am used to tough/no non sense/straight forward Lizzy....today, i have seen a soft girl in love and who can change bitterness to joyfulness!! mi proud of you..!!!
ha ha haaaaaa......when in love,you can be too soft and a humble....am used to tough/no non sense/staright forward Lizzy....today, i have seen a soft girl in love and who can change bitterness to joyfulness!! mi proud of you..!!!
ha ha haaaaaa......when in love,you can be too soft and a humble....am used to tough/no non sense/straight forward Lizzy....today, i have seen a soft girl in love and who can change bitterness to joyfulness!! mi proud of you..!!!