Aisee mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama nimepata na tatizo alafu unanionea huruma na haunisaidii hii ipo zaidi kwa wanawake Mwanamke kama huwezi msaidia mume mpenzi wako huna haja ya kumuonea huruma maana haisadii hii tabia wanayo zaidi wanawake.
Nachukiaga sana maneno kibao msaada kimya bora ukaushe tuu useme pole inatosha. na siyo ngojera nyingi. Maana maneno yako hayatanisaidia chochote yaani daah.
Nachukiaga sana maneno kibao msaada kimya bora ukaushe tuu useme pole inatosha. na siyo ngojera nyingi. Maana maneno yako hayatanisaidia chochote yaani daah.