Kwa wanawake hili mnakera ila pia kuna baadhi ya wanaume pia

Kwa wanawake hili mnakera ila pia kuna baadhi ya wanaume pia

Aisee kama umempata hata huyo ambaye anajitahidi kukuonesha huruma basi shukuru Mungu umempata Muungwana, kuna wengine hata pole tu hupewi.
 
Sio hawana uwezo wa kusaidia sometimes wanakua nao ila wanakula ngumu wanasubiri mwanaume ajitokeze asaidie wamsifie.

Ni wepesi wa masikitiko ila wagumu mno kusaidia hata kama huo uwezo anao.
Wabinafsi by nature
 
Msaada siyo haki yako; na hakuna mtu aliyezaliwa hapa duniani ili aje akusaidie wewe (labda wazazi wako tu kama wanataka!). Maisha yako ni jukumu lako kwa asilimia 100. Mpaka utakapolitambua hili, utaendelea kulaumu watu bure kumbe tatizo ni wewe na saikolojia yako potofu.

Hivyo mheshimu sana mtu anayekusaidia kwa namna yo yote ile maana kusema kweli siyo jukumu lake. Asipokusaidia napo mshukuru na kumheshimu maana pengine kwa kutokukusaidia huko ndipo anakusaidia zaidi hasa kifikra, kifalsafa na kimtazamo (kuhusu maisha, ubinadamu, mahusiano na watu, familia n.k)

Kua! ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Aisee mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama nimepata na tatizo alafu unanionea huruma na haunisaidii hii ipo zaidi kwa wanawake Mwanamke kama huwezi msaidia mume mpenzi wako huna haja ya kumuonea huruma maana haisadii hii tabia wanayo zaidi wanawake.

Nachukiaga sana maneno kibao msaada kimya bora ukaushe tuu useme pole inatosha. na siyo ngojera nyingi. Maana maneno yako hayatanisaidia chochote yaani daah.
Acha mujumuisho wa kijinga. Kwani mama na bibi yako ni wanaume?
 
Back
Top Bottom