Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

Mi kidume nakula watoto wazuri, yanini nijitese wakati watoto warembo pisi Kali zipo za kumwaga ni mwendo wa kutom........baaa navotaka wanawake skuizi mpo wengi ka nini, ukizingua napata mwingine mtamu zaidi yako
Sawa unapata utamu
Vipi tulizo la moyo wako una pata??
 
Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje??

Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii..

Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa nimefanya ni yeye anapaswa kunitafuta mimi

Ila kwa alivouchuna ina maanisha hana cha kupoteza kwangu nimekubaliana na hilo
Ila sasa kama mjuavyo tunakula tunashiba inabidi tutoe chakula
Nimewaza kama nimtafute kwaajili ya hilo tu then nimpotezee

Kwasasa sihitaji mahusiano ya sex na mwanaume mwingine

Maoni yenu wakuu
Pole sana,

Pole sana mrembo kwa yaliyokukuta. Nilipitia kadhia hiyohiyo na nikamove on.....haya ndio mapito ya dunia. Kama hautajali mm nitakusadia copying strategies ❤️ 📬
 
Ziandike hapa na wenginee tufaidike
 
Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje??

Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii..

Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa nimefanya ni yeye anapaswa kunitafuta mimi

Ila kwa alivouchuna ina maanisha hana cha kupoteza kwangu nimekubaliana na hilo
Ila sasa kama mjuavyo tunakula tunashiba inabidi tutoe chakula
Nimewaza kama nimtafute kwaajili ya hilo tu then nimpotezee

Kwasasa sihitaji mahusiano ya sex na mwanaume mwingine

Maoni yenu wakuu
Kufumaniwa ni sifa mojawapo ya uanaume. Potezea.
 
Back
Top Bottom