Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
3,278
Reaction score
5,212
Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje??

Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii..

Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa nimefanya ni yeye anapaswa kunitafuta mimi

Ila kwa alivouchuna ina maanisha hana cha kupoteza kwangu nimekubaliana na hilo
Ila sasa kama mjuavyo tunakula tunashiba inabidi tutoe chakula
Nimewaza kama nimtafute kwaajili ya hilo tu then nimpotezee

Kwasasa sihitaji mahusiano ya sex na mwanaume mwingine

Maoni yenu wakuu
 
Acha kupoteza muda, peleka kapochi manyoa kwa mwamba akajipigie na umsamehe maisha yaende, hakuna jipya hapa chini ya jua...

Tumia akili lakini unapojirudisha kwake usitumie hisia tu za kwenda kudinywa..
 
Kumsamehe mtu ambae hajakuomba msamaha nayo ni kazi nyingine

Kwenye kutumia akili hapo ndio palipo na kazi
 
Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje??

Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii..

Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa nimefanya ni yeye anapaswa kunitafuta mimi

Ila kwa alivouchuna ina maanisha hana cha kupoteza kwangu nimekubaliana na hilo
Ila sasa kama mjuavyo tunakula tunashiba inabidi tutoe chakula
Nimewaza kama nimtafute kwaajili ya hilo tu then nimpotezee

Kwasasa sihitaji mahusiano ya sex na mwanaume mwingine

Maoni yenu wakuu
Tatizo hilo zungumzeni vunja ukimya lasivyo utampoteza na atapata chimbo jipya na wewe utaenda kwingine nako utakuta ni afadhali ya uliko toka
 
Nakupa mbinu!

Kuna mwenzio alivuruga mambo,jamaa kwa hasira akahamia site ya kibiashara ilinkuepuka jau,akawa analala huko usiku ukifika!

Sasa mwenzako akaamua kumbaka kijana mwanafunzi aliekua anasoma,baada ya muda akabeba na ujauzito kabisa,Sasa hakuelewa coz alitoka na mtu tatu kipindi hicho,yaani kijana mwanafunzi,Mzee mwenye vipesa vya mboga na mumewe!!

Sasa akaamua asingizie mimba kote watatu,mtoto kazaliwa mwenye nyumba ndio akaja kujua mimba ya mtoto ilipewa watu watatu na yeye akiwemo!!

Jamaa akawaza Santa Cha kufanya,akaona Bora Aishi maisha yake tu!huyo Dem abaki kama mzazi mwenza TU na sio mke na Sasa jamaa ana madem huko kitaa na make kamuacha aendelee na maisha yake!!

Na wewe kabake kakijana utoe ham!!
 
Hakunaga kubaka
 
Back
Top Bottom