- Thread starter
- #21
Napishana na vikao jmnUwe unahudhuria vikao binti. Hutafundishwa kila kitu humu
Mniambie na ninyi nisijichanganye
Napishana na vikao jmnUwe unahudhuria vikao binti. Hutafundishwa kila kitu humu
Wenzio hata mwaka tunaweza. Na kukojoa tunakojoa anytime tukijisikiaNapishana na vikao jmn
Mniambie na ninyi nisijichanganye
Kwahio mwanafunzi aliiomba!!?au mwenzio alijilengesha!!?Hakunaga kubaka
🤣🤣🤣🤣 jmn nyie mnajifanyaje hivyo mbona mimi sijuiWenzio hata mwaka tunaweza. Na kukojoa tunakojoa anytime tukijisikia
Mkuu unanichanganya tuKwahio mwanafunzi aliiomba!!?au mwenzio alijilengesha!!?
Ndio mnavyo halalisha uhalifuMwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe,kitu ambacho wanawake wengi hawajui juu ya sisi wanaume ni kuwa sisi asili au nature inatutaka kumiliki majike wengi,ndo fahari yetu,anzia kwa viumbe wengi wa jinsi ya ME ,utakuta dume Moja majike 10+ ndo hivyo na kwa mwanamume.
Lakini pia mwanamume kwenda kwa jike tofautu na wewe sio kwamba hakupendi,la hasha ni katika swala la kutafuta ladha tofauti,msamehe jamaa yako mambo yasonge.
Kitu kingine jiepushe kushika simu ya mpenzi wako,wewe shughulika na maswali yako, hapo utadumisha mahusiano yako,lakini pia mkumbushe mpenzi wako juu ya umuhimu wa kuwa mwaminifu katika mapenzi maana siku hizi magonjwa ni mengi sana ,Kuna homa ya ini,ukimwi ,kaswende nk
Bora usijue maana mmh🤣🤣🤣🤣 jmn nyie mnajifanyaje hivyo mbona mimi sijui
Endelea kushupaza shingo,utajua hujuiNdio mnavyo halalisha uhalifu
Haya Mimi kesi yangu ni tofauti na hiyo huenda mimi ndio wale Majike wengine ambao wanaume hutafuta nnje
Hii comment yako sijaielewa mkuuzero distance ingefaa,
ungevaa kanga moko huku unajipitisha pitisha, ile kanga usiikaze ilegeze ili idondoke😋,, hakikisha donat linanyemka nyemka
Wewe Demi niambie bhnBora usijue maana mmh
etiiiiEndelea kushupaza shingo,utajua hujui
JIongeze bana na wewe😀Wewe Demi niambie bhn
Nijishushe nini mkuu.. sijamkosea wala sijamtamkia maneno yoyote zaidi ya kutaka maelezo tu.. na alikataa kuniambia nikanyamazaJishushe hicho kiburi ndio kinawapelekea kubaya
Utajifanya ume movie on unaenenda kujikabidhi kwa nyamera lingine
Siku ya kwanza unadinywa na mimba juu😁😁
Safari ya single mother inaanza
Nakuambia bora zimwi likujualo
Ni kweli wanawaume hatuna cha kupoteza kwenye mahusiano especially kwa alpha male
Kwenye kujiongeza nilipata 0JIongeze bana na wewe😀
Sawa mkuu Bora nifate huu ushaurii niendelee kukaza tuKadogo achana nae ukijurudisha kwa uwepesi utaendelea kunyanyasika na atakudharau chakufanya fanya mambo yako usiwaze sana ikakuletea msongo wa mawazo kama ni wako atarudi tu