Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

Sawa mkuu Bora nifate huu ushaurii niendelee kukaza tu
Wakati mwinginee tunaweza kuviganda vitu ambavyo sio vyetu
Wazo zuri maana hata ukisema kuwa unavunja ukimya ukatoe upwiru kwake utakua unamfurahisha yeye na pia ataendelea kudharau zaidi,hakuna gumu duniani ni mindset tu kuwa sitaki kutoa utu wangu,sasa utalala na wangapi hata useme nawe uchepuke kumkomesha?
 
Mwanaume hafumaniwi, ulitakiwa kumuomba msamaha kwa kuona mambo yake private kisha mkaendelea na maisha mengine.

Haya Sasa ameshakuonyesha kwenye mahusiano yenu, wewe sio kitu , hata ukisusa atakua na wengine wakati huo huo wewe unaishi ukimuwaza.

Mimi kuna demu aliwahi kunifumania live, alileta noma ile mbaya, ila kikubwa sikuruhusu washikane.

Baada ya mtifuano akaondoka tena kwa mikwara kibaoo, mie nikakausha zangu kimyaaa, baada ya kama wiki, mwenyewe akanitafuta.

Eti nimemkosea na hata msamaha simuombi, nikampa black and white, msamaha siwezi kuomba, kama unarudi rudi, kama umeamua kuanza upya pia sawa.

Siku sina hili wala lile napigiwa simu, funguo ziko wapi nataka kufanya usafi nyumbani, nikamjibu kuna vitu vya kutoa kwanza ndani hutakiwi kuviona, njoo kesho.
Hahahaha hujakutana na watu wenye kiburi kama changu
Mkuu mimi kuandika hapa ndio kama nimepona ujue.. kama ujuavyo wanawake hupona kwa kuongea so sikuwa na wakumwambia ila mimi nishaacha mtu nilikuwa nampenda kinomaaaaaa huyu hata robo hajaifikia nikisema Nina move on huna jipya utaniambia nirudi kwako

Kinachotutesa ni mazoea tu.. halafu sisi hatupendi mazima tukipata Chaka jipya likatu handle vizuri unasahaulika chapu Niko hivyo

Mimi ni pendapenda mkuu sio mtu wa kumpenda mtu mmoja milele ukizingua nikapata mwingine akanitreat vyema nakusahau nampenda huyu na huwa sirudia ni n ex

Kwakusema hivyo ni kuwa sitokuja kuomba msamaha kwa mwanaume kwa kosa la fumanizi tena nililomfumania yeye abadani asilani
Kama sio fungu langu na apite yeye sio wa kwanza kuwa na mimi mkuu
 
Wazo zuri maana hata ukisema kuwa unavunja ukimya ukatoe upwiru kwake utakua unamfurahisha yeye na pia ataendelea kudharau zaidi,hakuna gumu duniani ni mindset tu kuwa sitaki kutoa utu wangu,sasa utalala na wangapi hata useme nawe uchepuke kumkomesha?
Hiko ndio kikwazo utalala na wangapii
Sisi wanawake tunateseka kwa Hilo mkuu
 
Heee Hii kali
Mimi sinaga mazoea na wanaume wala sina rafiki wa kiume
Mpnz wangu ndio rafiki yangu wa kiume

Siwezi kuwa na urafiki na wanaume kwasababu wengi wanaishia kukutongoza
Siwezi kulala na mwanaume sio mpnz wangu

Wanaume ni Watu Ninaoongea nao through charting basi,, hata iwe tunafahamiana ila tumeonana barabarani siwezi kuanza story nitakachokuomba ni namba tunawasiliana tu

Sijajua wewe unawezaje kuwa na rafiki wa kiume halafu unakulana nae
Safi sana na inapendeza jwa kweli,aige huu mfano kutoendekeza mahusiano mengine kama kulipiza mume wake kumsaliti ni kujichakaza tu na kufungulia maroho machafu yatakayo kuletea shida katika maisha, huwa ni kazi sana kumsamehe mtu aliekusaliti msichukulie poa kama anakupenda asingekusaliti maana raha anazozitafuta huko njee mbona wewe pia unazo kataa kurukaruka na kila mtu
 
Watu wanafikiri ni sifa
 
Back
Top Bottom