- Thread starter
- #41
😎Nishakuchek PM mkuu...😋
😎Nishakuchek PM mkuu...😋
Wewe ndio mwenye makosa. Huko kwenye simu yake ulikua unatafuta nini? Na wakati unakitafuta hicho ulichokua unakitafuta, ulitegemea ukikipata ufanye nini? Haya sasa.. umekipata ulichokua unakitafuta, anaeteseka ni nani? 🤷♂️Nijishushe nini mkuu.. sijamkosea wala sijamtamkia maneno yoyote zaidi ya kutaka maelezo tu.. na alikataa kuniambia nikanyamaza
Huyo mtu hata ukijushusha ni atanidharau mno
Atajikanda hadi lini kuna Me wa Ke mmoja dunia ya leo?Ni Bora unawie maji ya moto kuliko kulala na jini makata, zingatia neno maji ya moto...
Huyu hana genye amemmis tu bebi wake,ivi kwa umri huo ashindwe kukipoza kipochi manyoya unaamini kabisaaa😏Bora usijue maana mmh
AstaghfirullahWenzio hata mwaka tunaweza. Na kukojoa tunakojoa anytime tukijisikia
Heee Hii kaliKweli mimi nafanyaga hivi nakuwaga na rafiki yangu wakiume ambaye na mfeel so kama nimepigana na muheshimiwa naendaga huku hukoo ila kurudi kwa mtu kujikomba big no ila hapo nizamani ila kwa sasa nimefunga kimapochi manyoya naenda tu kanisani
We una akili sanaa.. niliwahi kusema humu kwamba hakuna kitu kinadumisha ndoa kama michepuko! Ukiona mtu kadumu kwenye ndoa miaka nenda rudi ujue lazima ana sehemu za kutolea upepo na kupunguza presha.Kweli mimi nafanyaga hivi nakuwaga na rafiki yangu wakiume ambaye na mfeel so kama nimepigana na muheshimiwa naendaga huku hukoo ila kurudi kwa mtu kujikomba big no ila hapo nizamani ila kwa sasa nimefunga kimapochi manyoya naenda tu kanisani
Ni bora ingekuwa niliishika simu yake wala sikuishika… ile kitu ilitokea automatically bila kutegemea nikamkamata wala sikushika simu mkuuWewe ndio mwenye makosa. Huko kwenye simu yake ulikua unatafuta nini? Na wakati unakitafuta hicho ulichokua unakitafuta, ulitegemea ukikipata ufanye nini? Haya sasa.. umekipata ulichokua unakitafuta, anaeteseka ni nani? 🤷♂️
Mmh nyie mbona kama kuna kitu ambacho sikijui… kama kuna njia tofauti na kujichua nifundisheni ila kama ni kujichua sitaki maana nasikia ukianza hiyoo michezo hutoitaji mwanaumeHuyu hana genye amemmis tu bebi wake,ivi kwa umri huo ashindwe kukipoza kipochi manyoya unaamini kabisaaa😏
Watoto ya nyokomama watoto ukaona uje kuomba ushauri huku..!!😁😁
HeeeWe una akili sanaa.. niliwahi kusema humu kwamba hakuna kitu kinadumisha ndoa kama michepuko! Ukiona mtu kadumu kwenye ndoa miaka nenda rudi ujue lazima ana sehemu za kutolea upepo na kupunguza presha.
unaleta unyakyusa kolonda engiliWatoto ya nyoko
Issue sio kunifikisha issue ni kulalwalalwa hovyo na wanaumeInaonekana jamaa ndio pekee anaekufikisha safari zako, zingatia hapa (safari zako)