chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,166
- 2,416
Sawa hapo bad boy ndo nimeshindwaBinafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Kutokuwa mstaarabu sana kivipi mkuu. Yaan uwe mkorof korof kunyoa kiduku mlegezo mwingi, nk au kivipi. Hebu ifafanue kidogoBinafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Nakazia namba 1,2,5, na 8Binafsi ili nikukubali

bad boy ni mtu gan?Binafsi ili nikukubali

Kwanini bado hujaja PM mpaka sasa mkuu, ??Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Kutokuwa mstaarabu sana kivipi mkuu. Yaan uwe mkorof korof kunyoa kiduku mlegezo mwingi, nk au kivipi. Hebu ifafanue kidogo
😁😁Nakazia namba 1,2,5, na 8
Namba 8 iwekewe Lamination
JoJo 😘
Hizo caratalistics hata Yusuphu mtoto wa mzee Yakobo alikua hana labda A.IBinafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Da 😂😂😂😂Hizo caratalistics hata Yusuphu mtoto wa mzee Yakobo alikua hana labda A.I
bad boy ni mtu gan?
Hizo caratalistics hata Yusuphu mtoto wa mzee Yakobo alikua hana labda A.I
Kwanini bado hujaja PM mpaka sasa mkuu, ??
Japo hujaongelea mambo ya sura, em cheki iyo avatar yangu hapo, tafadhari usiisave kwenye simu yako kuonesha rafiki zako, sipendi hiyo tabia.
1. Ujue kuhudumia vizuriHello jf members
Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
Nimekuelewa hutaki kushush brand hadharani, enewei karibu sanaSijaja PM kwasababu sitafuti
Nimejibu uzi 😁
Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Huwa mnatuchanganya sana wanawake!!1. Ujue kuhudumia vizuri
2.Mrefu/Size ya Kati
3.Uwe mstaarabu/Mwelewa.
N.k
I'm Bad boy alafu commando,na-Fit vigezo?