Kwa wanawake: Nifanye nini ili uweze kukubali kuwa mpenzi wangu

Jibu
👇
Mahitaji ya mwanamke yanajulikana hivo Kuna Wanaume hawaambiwi huwa wanaelewa na kutoa.
Sasa mfano me uwezo wangu ni kukuhudumia vitu vyenye thamani ya elf 70 kwa mwezi, kwahiyo akija mwenye uwezo wa kukuhudumia vya 150,000 unaniacha realMamy
 
Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu

6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali

List ni ndefu lakini anza na hizo
Kwa hizo sifa mkuu najiona mimi kabisa fungua milango mrembo❤️
 
Kutokuwa mstaarabu sana kivipi mkuu. Yaan uwe mkorof korof kunyoa kiduku mlegezo mwingi, nk au kivipi. Hebu ifafanue kidogo
Awe anatumia lain zote sio. Sema ukitaka kuenjoy sex sana wote mupate ka wine kidogo.
 
Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu

6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali

List ni ndefu lakini anza na hizo
Na sisi siku tukishusha list ya requirements zetu msiwe wakali. Sanasana kwenye vile vipengere vya bikira na single mother
 
Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu

6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali

List ni ndefu lakini anza na hizo
Huyu ni Mimi mtupu,

Pokea simu Joanah namba yangu ni ile ile.
 
Back
Top Bottom