Kwa wanawake: Nifanye nini ili uweze kukubali kuwa mpenzi wangu

Kwa wanawake: Nifanye nini ili uweze kukubali kuwa mpenzi wangu

Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu

6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali

List ni ndefu lakini anza na hizo
Mbona hao ni wanaume watatu tofauti
 
Back
Top Bottom