Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kwishaaaaaa! Ingekua tunajuana offline ninge....... narudi soon. Japo no 3 ni kamzozo.Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Wewe bikra?Binafsi ili nikukubali

Kwa hiyo dadaangu Joanna,tufanye jibu lako kuwa ndiyo benchmark ya Uzi?Mkuu ukizingatia kwamba comment yangu ni jibu la mleta mada hukutakiwa kuuliza hili swali
Kwanini mnajaribu ku-personalize majibu ya uzi?
Kwa hiyo dadaangu Joanna,tufanye jibu lako kuwa ndiyo benchmark ya Uzi?
Kama ndiyo basi tukubaliane asitokee wa kuongeza Wala kupunguza chochote. Tatizo wanawake mnabadilika badilika sana.
πππππWale mara tusifanye hivi kwasababu neno linakataza
Vigezo vimejaa kama job description ππ Lakini swali la muhimu ni: wewe mwanamke unampa mwanaume nini mpaka akubali hiyo nafasi? Maana tunasikia sana βmwanaume awe hivi, awe vile, awe na hiki na kileβ πBinafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Vigezo vimejaa kama job description ππ Lakini swali la muhimu ni: wewe mwanamke unampa mwanaume nini mpaka akubali hiyo nafasi? Maana tunasikia sana βmwanaume awe hivi, awe vile, awe na hiki na kileβ π
Na ukweli ni kwamba wanawake hamridhiki kirahisi π ukitimiza vigezo 8, kesho vinaongezeka vingine 5. Mwisho wa siku mwanaume anafanya interview ya nafasi ambayo salary package yenyewe haijawekwa wazi. π
Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Mume wangu anavyo vyote hivyoJojo sema tukuletee udongo umuumbe mume wako mwenyewe, maana kha!
Kwa hivyo wamiliki vitambi na unene umewatenga?Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
Inasikitisha Sana.Hello jf members
Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
pesa inatafutwa na haiachwi kutafutawaTAFUTA PESA KWANZA
Kwa hivyo wamiliki vitambi na unene umewatenga?
π π Yote Yanabebwa na pesa JamaniHuwa mnatuchanganya sana wanawake!!
Leo Tena siyo Tall,dark and handsome(TDH)?
Anyways,
I'm Bad boy alafu commando,na-Fit vigezo?
Niwe na uwezo wa kukuhudumia Tsh ngapi kwa mwezi realMamyUjue kuhudumia vizuri
HakikaPesa inakupa chochote unachotaka
Ahahahahahahah...Binafsi ili nikukubali
1. Usiwe unaongea sana, napenda utulivu na mtu wangu na sipendi kabisa mabishano
2. Usiwe na shobo na watu, yani wewe kila mtu unamzoea tu? Hell to tha no
3. Uwe msafi lakini usiwe smart sana
4. Usiwe mfupi kuliko mimi na usije ukamiliki unene wala kitambi kwa namna yoyote
5. Uwe na akili timamu
6. Usiwe mtu wa dini ile mfia dini, kama ni muislamu iwe kawaida na kama ni mkristo uwe kawaida pia
7. Usiwe mstarabu sana, napenda bad boys
8. Ujue kujali
List ni ndefu lakini anza na hizo
π π Yote Yanabebwa na pesa Jamani