Vizuri, sikumbuki kusema vidole vya mwenza wangu vipite huko, mie nimesema usiingize kidole chako au cha yeyote huko.
Tafadhali tusaidie hiyo elimu ya usafi unayoifahamu ili tuache kulishana pumba hapa.
Maelezo yangu kwa kifupi yanasema hivi; uke una mechanism yake ya kujisafisha yenyewe kwa ndani, vidole havisafishi bali vinaleta usumbufu usiokuwa wa lazima huko ambao unapelekea kuharibu PH ya mahala husika. Je wewe ni mwanamke? Kama sio ushawahi ku-bake cake kwa oven au jiko la mkaa, swali, ninini kinatokea unapoifunua cake yako mara kwa mara kuiangalia kama imeivaa, kama umewahi fanya hivyo utakuwa unafahamu matokeo yake, huo mfano unafanana na mtu anayesafisha uke kwa kuingiza vidole ndani.
Btw, nikuulize ninini exactly ambacho unadhani utakuwa unakisafisha/toa huko ndani? Je vidole vyako kama unaamini ni kweli vinasafisha Vinaweza kuingia kufika umbali gani ili usafishe kote? Je uke unaanzia wapi na kuishia wapi kiasi uweze kusafisha kote? Twende......