Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Shyness and Introvertism vinanjkosesha raha za duniaSasa unashindwa nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shyness and Introvertism vinanjkosesha raha za duniaSasa unashindwa nini mkuu?
Shyness and Introvertism vinanjkosesha raha za dunia
Duuh mkuu sasa kuna faida ipi ya kua mwanaume.. lazima uutumie uanaume wakoNani alikuambia ni raha za dunia hizo? Hata haukosi chochote mkuu endelea tu hivyo hivyo.
MmhVizuri, sikumbuki kusema vidole vya mwenza wangu vipite huko, mie nimesema usiingize kidole chako au cha yeyote huko.
Tafadhali tusaidie hiyo elimu ya usafi unayoifahamu ili tuache kulishana pumba hapa.
Maelezo yangu kwa kifupi yanasema hivi; uke una mechanism yake ya kujisafisha yenyewe kwa ndani, vidole havisafishi bali vinaleta usumbufu usiokuwa wa lazima huko ambao unapelekea kuharibu PH ya mahala husika. Je wewe ni mwanamke? Kama sio ushawahi ku-bake cake kwa oven au jiko la mkaa, swali, ninini kinatokea unapoifunua cake yako mara kwa mara kuiangalia kama imeivaa, kama umewahi fanya hivyo utakuwa unafahamu matokeo yake, huo mfano unafanana na mtu anayesafisha uke kwa kuingiza vidole ndani.
Btw, nikuulize ninini exactly ambacho unadhani utakuwa unakisafisha/toa huko ndani? Je vidole vyako kama unaamini ni kweli vinasafisha Vinaweza kuingia kufika umbali gani ili usafishe kote? Je uke unaanzia wapi na kuishia wapi kiasi uweze kusafisha kote? Twende......
😂😂😂😂😂. Sijajua umewaza nini aiseee!
Whatever it is...
Whatever u know...
The things I knw is ' utoko halipo kisayansi ' kidaktari
I never had a sex mkuu.. so sina experience na vitu hv. Najaribu kutafuta maarifa ili siku nikipata nisionekane bwege
I never had a sex mkuu.. so sina experience na vitu hv. Najaribu kutafuta maarifa ili siku nikipata nisionekane bwege
Unaweza sema hvo mkuu.. bado