Kwa wanawake tu; uvaaji huu huwa ni fasheni au?

Kwa wanawake tu; uvaaji huu huwa ni fasheni au?

Hizi fashion nyingine Inashangaza sana kwa kweli na jinsi watu wasivyotaka kupitwa, huwa nawahurumia kushikilia nguo, mara gagulo liburuze na huku kabeba bonge la pochi, yaani mzigo juu ya mzigo!
 
Hahahaaaa!! Nikivaa navaa underskirt fupii. Zile ndefu huwa naziona zaidi maeneo ya Pwani, huku kijijini kwetu hakuna hayo mambo.
hata mie ninazo tule tufupiii!jana nilikua sehem msiban nahis nilibak mie jaman !tena wameyanyanyua juu had magotini !kha
 
Hahahaha niseme mazoea tu binafs mimi ni mhanga wa hili
Nimeshazoea kushikilia nguo na nikivaa tight ndefu ndani hua sishiki lakini nikivaa underskirt ndefu bas dira litashikwa tu
Saa zingine unakuta dera lina upana mdogo lina hatua flani hivi bas hua nikishika napata balance ya kutembea hii iko sana pwani hasa kwenye maharusi lazima ukute hii hulka tu
 
Kuna wale wanalikunjia dera kwenye nguo za ndani aaaaagh. Unaeza mpga mtu kbao.
 
Ni fashion that's why unakuta undersket ina urembo chini maana yake nguo yanje iwe fupi kidogo lakini sio kufika kwenye magoti then kusudi hiyo yandani ionekane kwachini
 
Back
Top Bottom