Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbitiyaza bhana!!![emoji813]Umofia kwenu!
Kuna mavazi ambayo yamezoeleka kuvaliwa misibani au kwenye mikusanyiko yeyote ile iwe harusi au sherehe zingine!
Binafsi nahitaji kuelezwa au kujuzwa kama huwa ni fashion au ni nini!
Kuna wanawake wanavaa madera then nguo ya ndani inakuwa ndefu (namaanisha underskirt, tonja, gagulo) yaani unakuta dera limefika kwenye ankle lakini ile nguo ya ndani inaizidi dera yaani unalikuta inaliburuza! Au wengine hufika mbali kiasi hunyanyua dera anatembea ameshikilia dera!
Hivi ile huwa ni fasheni au ni nini jamani! Binafsi mie sielewi kabisa concept ya uvaaji ule ni kuonyesha zile underskirt za ndani au ni nini!
Ngoja 'matomaso' tuwataftie picha tuiweke.
Karibuni wapenda 'fashoon'!
cc Nalendwa ,Heaven Sent
Hutaki mmoja kati yaoukweli nilitaka kufahamu !kumbe ndo fasheni !bas mie hii itanipita tu
Swaga za kipemba hizo huwezi ziellewahuenda basi ! nilitaman tu kujua