Hahahaa!!Hizi fashion nyingine Inashangaza sana kwa kweli na jinsi watu wasivyotaka kupitwa, huwa nawahurumia kushikilia nguo, mara gagulo liburuze na huku kabeba bonge la pochi, yaani mzigo juu ya mzigo!
Huto tufupiiii ndio vyenyewe sasa, sasa na hilo joto na huo mburuzo khaah!! Ndio maana wananyanyua hewa ipite.hata mie ninazo tule tufupiii!jana nilikua sehem msiban nahis nilibak mie jaman !tena wameyanyanyua juu had magotini !kha
Oooh kumbe mnatafuta hatua!! Hapo nimekuelewa, nikajua joto so angalau hewa ipite kidogo.Hahahaha niseme mazoea tu binafs mimi ni mhanga wa hili
Nimeshazoea kushikilia nguo na nikivaa tight ndefu ndani hua sishiki lakini nikivaa underskirt ndefu bas dira litashikwa tu
Saa zingine unakuta dera lina upana mdogo lina hatua flani hivi bas hua nikishika napata balance ya kutembea hii iko sana pwani hasa kwenye maharusi lazima ukute hii hulka tu
hahahahahaa kabisaNyuzi hizi bila picha si lolote si chochote wengine humu tumetokea koromije hata hatujui dera ni nini
Hahahaha niseme mazoea tu binafs mimi ni mhanga wa hili