Hahahahaaaa unanitishia nyau?Ndio maana hamuolewi
πππππππππππ Hatariii sanaNachomekea[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1079885
Huyo wa hivyo sio mzima kabisa, anatakiwa kuwa mirembe.Nitageuka na kurudi nilipotoka. Kwa hali hiyo nitamuacha manake nitakuwa na date na psychopath.
Akifanya usafi utamrudia?Namuacha
Hahahaaa. Lol.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaumwa tumbo la ghafla hadi nikalazwe.
Weeeeeh sirudi walah, nanyooka nyumbani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitoka hospital unarudi kusafisha hapo..
Huo uchafu sio wa mtu mzima kabisa, inabidi kabla ya kufanya usafi apelekwe akatibiwe ubongo.Hahahaaa. Lol.
Ila aliyechafua naye ndio akasafishe naye kwa kweli.
Na pia nionavyo ile itakuwa sehemu ya kutunzia vitu visivyotumika sio bure.Huo uchafu sio wa mtu mzima kabisa, inabidi kabla ya kufanya usafi apelekwe akatibiwe ubongo.
hajambo Hawachi mama anakusalimu pia utamzoea tu natumai,
siwezi Mimi mama: aya Fanya kupanda pipa uje mjini tafadharSiwezi kukuliza babaa...
Ila usichafue vyombo vyote jamani!