Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Nachomekea[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
FB_IMG_1556109114003.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaumwa tumbo la ghafla hadi nikalazwe.
😂😂😂😂😂😂

Ukitoka hospital unarudi kusafisha hapo..
 
Nikiwa kama mwanaume.. hapo kama dada hautonikimbia na wewe usubirie tuuu kuchafuliwa kama hilo jiko...
 
Huo uchafu sio wa mtu mzima kabisa, inabidi kabla ya kufanya usafi apelekwe akatibiwe ubongo.
Na pia nionavyo ile itakuwa sehemu ya kutunzia vitu visivyotumika sio bure.

Maana palivyokaa ukijifanya kusafisha waeza maliza masiku unapaeka sawa na pasikae. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom