Niko mjini mbona!siwezi Mimi mama: aya Fanya kupanda pipa uje mjini tafadhar
Umefikia kwanini mbona nyumbani sikuoniNiko mjini mbona!
Nimekuta viatu vya kike mlangoni! NimerudiUmefikia kwanini mbona nyumbani sikuoni
Hivi humo ndani kuna mtu anaishi kweli?Hivi mdada umeenda kwa mchumba/boyfriend wako ukakuta jiko liko hivi.
Utachukua hatua gani..
View attachment 1079766
We unamuona ni mzima huyo?Msaidie kumbadilisha sio kumkimbia..
Na ukimaliza unalazwa maana utakuwa ushapata maradhi.Na pia nionavyo ile itakuwa sehemu ya kutunzia vitu visivyotumika sio bure.
Maana palivyokaa ukijifanya kusafisha waeza maliza masiku unapaeka sawa na pasikae. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha hapo kuumwa mafua lazimaNa ukimaliza unalazwa maana utakuwa ushapata maradhi.
Sio mafua tu hadi kifafa utapata.Hahaha hapo kuumwa mafua lazima
😂😂😂😂😂😂Mbaya zaidi umefanya usafi kisha kidume ana kwambia hivi "Mpenzi mwanaume atakaye kuoa ana bahati unaonekana msafi mno".Sio mafua tu hadi kifafa utapata.
Unamjibu tu politely, "ana bahati sana, namuonea tu huruma huyo mwanamke mwenzangu atakaekuvagaa, utampa pole yangu in advance"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya zaidi umefanya usafi kisha kidume ana kwambia hivi "Mpenzi mwanaume atakaye kuoa ana bahati unaonekana msafi mno".
umeogopa tu mgeni alikuwa kwa seble anaangalia marudio ya sultani siwezi laza Mimi mwingine kwa bed yako ujue. Fanya ukuje arsenal akifungwa baadae walau unifute machozi mimiNimekuta viatu vya kike mlangoni! Nimerudi
hakuna wakukufanyia fujo leo jimwaye mwaye minawe mpaka kifo
Hawachi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya zaidi umefanya usafi kisha kidume ana kwambia hivi "Mpenzi mwanaume atakaye kuoa ana bahati unaonekana msafi mno".
Hurumia kasura kangu babaumeogopa tu mgeni alikuwa kwa seble anaangalia marudio ya sultani siwezi laza Mimi mwingine kwa bed yako ujue. Fanya ukuje arsenal akifungwa baadae walau unifute machozi mimi
hakuna wakukufanyia fujo leo jimwaye mwaye minawe mpaka kifo
Aiseee...[emoji847][emoji847][emoji847]
Unafaaa kuwa mkeNi kufanya usafi tuu hapo, hakuna namna ingine!
Tayari mimi ni mke mkuuUnafaaa kuwa mke