Kwa wanawake tu

Hiyo HIV test anaitoa kabla au after game ?
Jibu likiwa yuko Pos. Au Neg
kwa jibu lolote lile ukishaliona ndiyo iwe nini ?
 
Good!
simu si zipo mkwe? tena kuna hadi airtime za promotion.................... kata wewe................ niPM namba yako nitakupigia
Kama ulikuwa unatania shauri zako.

NshakuPM namba na simu yangu battery iko full.
 
mmmmmmmmh! ngoja nipite zangu ya wanawake tu hii......ila i got much experience to share kuhusu hii srd na my experts opinion in medical field.
asakuta OUT!
 
NAKUKUBALI SANA WEWE KONGOSHO AZANIA MWENZANGU.ULIPGA 1.7 fom 4 ULISTAHILI MANA NAONA.BIG UP MWANA
mwenzio kongosho kwa sasa ni mdada, huyo wa Azania ni mwingine labda..................... ha haaaaaaaa, zimwi likujualo......................
 
Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao.
Asprini umenizunguka sio!
Yaani dk kadhaa tu, mchezo umeisha na FP kashaingia line?

Naenda kusema kwa mamaa!

Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe?
 
Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe?
Nami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki!

 
kweli kabisaaa

ukweli upi........................ningemwaga radhi lakini tumebaguliwa hapa.................huu ni unyanyasaji wa kijinsia.......lol
 
Mwali we kwa maswali ya mitego!! Mie sikubali yaani nitatoka humo chumbani speed ya ajabu...............hata kama nilipima jana yake.
 
hapo hakuna kukimbia kama unajiamini maana endapo unajirusha basi hapo hapatoshi na hii ndio the best way ya kukusaidia maana nje ya hapo tutaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…