Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulikuwa unatania shauri zako.Good!
simu si zipo mkwe? tena kuna hadi airtime za promotion.................... kata wewe................ niPM namba yako nitakupigia
sitanii mkwe, stay tuned!Kama ulikuwa unatania shauri zako.
NshakuPM namba na simu yangu battery iko full.
Nafanya, bila a second thought.
Am tuned!sitanii mkwe, stay tuned!
mwenzio kongosho kwa sasa ni mdada, huyo wa Azania ni mwingine labda..................... ha haaaaaaaa, zimwi likujualo......................NAKUKUBALI SANA WEWE KONGOSHO AZANIA MWENZANGU.ULIPGA 1.7 fom 4 ULISTAHILI MANA NAONA.BIG UP MWANA
sitanii mkwe, stay tuned!
Kama ulikuwa unatania shauri zako.
NshakuPM namba na simu yangu battery iko full.
sitanii mkwe, stay tuned!
Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao.Am tuned!
Salama bana................. habari ya wewe?FP ... habari yako bana!
Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe?Mbona naona maruweruwe hapa! Du! chenga kibao.
Asprini umenizunguka sio!
Yaani dk kadhaa tu, mchezo umeisha na FP kashaingia line?
Naenda kusema kwa mamaa!
Nami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki!Ni mipango tu................... hakuna kuingia line wala nini................. tunapanga kuandaa meeting ya watoto.......... au unasemaje mkwe?
hakuna wa kuzungukwaNami naomba tupange kimya kimya kabla hajarudi ni-PM na mimi, nimzunguke huyu babu kudadeki!
kweli kabisaaa