kweli marafiki wa kike balaa.... ananifanya buzi lake jamani?..hapo kwa mapenzi heri yako niveasitaki wala sina mashost,wala rafiki wa karibi sana wa hodihodi ,nina kikundi cha mtaani watanifaa wakati wa dhiki na raha,kimapenzi nina pakugeukia,hahahah smile haya bana kazi kwako
marafiki wa kike nuksi tupu sitaki wala kuwasikia huyo huyo ndio atakuibia mumeo ,ndio atakuchonganisha,ndio atapeleka siri zako mtaani hayi sitaki kabisa usumbufu MY FAMILY IS MY BEST HONORABLE FRIENDS THEY NEVER HESITATE ME ,napenda sana ,kwanini niliamua haya maisha :nilikuwa na rafiki yangu kipenzi sana na alikuwa anajua little of my secrets siku mja tukatofautiana alinitukan na matusi yalibase to my secrets she has ,sikumtukana ila nilimwambia thanks kwakunisaidia kumalizia recomendation na concluusion ya research yangu toka hapo siongei na mwanamke yyte maneno mawili na nikikushtukia niko radhi nikufukuze kwangu,akabaki mmja hiviakawa anangangana kujua kwangu ilhali binafsi sijamkaribisha kwangu nikampa black and white tukabaki normal frends,thats is my life stayle dont try at home mimi naweza wewe inawezekana usiweze.kweli marafiki wa kike balaa.... ananifanya buzi lake jamani?..hapo kwa mapenzi heri yako nivea
yaani anakeraje? unatamani kujificha na gunia
kweli my mjini hapa...kuna watu mapepe kweli..unatoka nae anaagiza miller sijui nini wakati mwenyewe unakunywa maji tu..shamemarafiki wa kike nuksi tupu sitaki wala kuwasikia huyo huyo ndio atakuibia mumeo ,ndio atakuchonganisha,ndio atapeleka siri zako mtaani hayi sitaki kabisa usumbufu MY FAMILY IS MY BEST HONORABLE FRIENDS THEY NEVER HESITATE ME ,napenda sana ,kwanini niliamua haya maisha :nilikuwa na rafiki yangu kipenzi sana na alikuwa anajua little of my secrets siku mja tukatofautiana alinitukan na matusi yalibase to my secrets she has ,sikumtukana ila nilimwambia thanks kwakunisaidia kumalizia recomendation na concluusion ya research yangu toka hapo siongei na mwanamke yyte maneno mawili na nikikushtukia niko radhi nikufukuze kwangu,akabaki mmja hiviakawa anangangana kujua kwangu ilhali binafsi sijamkaribisha kwangu nikampa black and white tukabaki normal frends,thats is my life stayle dont try at home mimi naweza wewe inawezekana usiweze.