Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
1---umeamua kutupia kinguo chako cha kimtego....then unakutana na mwanaume ambae huwa anakumendea na wewe humtaki kabisa kabisa...daaah anakufaidi tu bure kukuangalia mpuuzi huyo----unafanyeje?
2...una shost kila siku anakupiga mizinga..ya pesa.. mara pochi ,mara viatu ...kila kitu akija kwako anatamani anajisevia...
3....huna muda na mapenzi.ingawaje moyo unatamani ..upo busy full day...unafanyeje?