kwa wanawake tuu please

kwa wanawake tuu please

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
1---umeamua kutupia kinguo chako cha kimtego....then unakutana na mwanaume ambae huwa anakumendea na wewe humtaki kabisa kabisa...daaah anakufaidi tu bure kukuangalia mpuuzi huyo----unafanyeje?
2...una shost kila siku anakupiga mizinga..ya pesa.. mara pochi ,mara viatu ...kila kitu akija kwako anatamani anajisevia...
3....huna muda na mapenzi.ingawaje moyo unatamani ..upo busy full day...unafanyeje?
 
sitaki wala sina mashost,wala rafiki wa karibi sana wa hodihodi ,nina kikundi cha mtaani watanifaa wakati wa dhiki na raha,kimapenzi nina pakugeukia,hahahah smile haya bana kazi kwako
 
Ooooooops! Nimekosea mlango lakini nimeona ganda tu sikuona ndizi...acha nigeuze nilikotoka....
 
sitaki wala sina mashost,wala rafiki wa karibi sana wa hodihodi ,nina kikundi cha mtaani watanifaa wakati wa dhiki na raha,kimapenzi nina pakugeukia,hahahah smile haya bana kazi kwako
kweli marafiki wa kike balaa.... ananifanya buzi lake jamani?..hapo kwa mapenzi heri yako nivea
 
Last edited by a moderator:
1)namkata bonge la jicho!!msonyoooo.....mpaka ye mwenyewe anaogopa!tena watu kama hao macho yao yanachefua jinsi anavokuangalia kwa tamaa-udenda ukimdondoka!go to hell..
 
yaani anakeraje? unatamani kujificha na gunia
 
kweli marafiki wa kike balaa.... ananifanya buzi lake jamani?..hapo kwa mapenzi heri yako nivea
marafiki wa kike nuksi tupu sitaki wala kuwasikia huyo huyo ndio atakuibia mumeo ,ndio atakuchonganisha,ndio atapeleka siri zako mtaani hayi sitaki kabisa usumbufu MY FAMILY IS MY BEST HONORABLE FRIENDS THEY NEVER HESITATE ME ,napenda sana ,kwanini niliamua haya maisha :nilikuwa na rafiki yangu kipenzi sana na alikuwa anajua little of my secrets siku mja tukatofautiana alinitukan na matusi yalibase to my secrets she has ,sikumtukana ila nilimwambia thanks kwakunisaidia kumalizia recomendation na concluusion ya research yangu toka hapo siongei na mwanamke yyte maneno mawili na nikikushtukia niko radhi nikufukuze kwangu,akabaki mmja hiviakawa anangangana kujua kwangu ilhali binafsi sijamkaribisha kwangu nikampa black and white tukabaki normal frends,thats is my life stayle dont try at home mimi naweza wewe inawezekana usiweze.
 
2)dawa ya mwanamke kama huyo..haumpi chance ya kulala wala kubadilisha nguo kwako!kama ndo ushosti bora uishe..yani mie nijipindishe mgongo kununua vitu vyangu afu yeye ajisevie tu kama tulikuwa wote nlivokuwa natafuta hizo pesa!tena mtu kama huyo mbaya kama nini..anaweza akakuingilia hata kwa my sweet wako!
tena wanakujaga na nia ya kuchukua nguo alafu wakati wa kuomba anajifanya it was an emergency..vyangu vyangu..vyako vyako..ikitaka ushosti udumu!!
 
1)namkata bonge la jicho!!msonyoooo.....mpaka ye mwenyewe anaogopa!tena watu kama hao macho yao yanachefua jinsi anavokuangalia kwa tamaa-udenda ukimdondoka!go to hell..
Lizzy....
 
Last edited by a moderator:
hiyo ya tatu mbona simple..men dont mind to be sex toys!!as long as wewe unajua unachotaka jitaftie wa kujipatia mambo..akijifanya kuleta commitments piga chini..on to the next one!!you are a woman babu..power to you!!
 
teh kumbe wewe mwanamke?

AAAAAAaaaaaa Smile nitake radhi tafadhali....si ndio maana nimekuambia nimekosa mlango nikakuta nshaingia ndani nikaone niwape hi nilowakuta nikatimua mbio na sikuchangia??? Nasubiri kuombwa radhi kabla sijaenda mahakamani....
 
marafiki wa kike nuksi tupu sitaki wala kuwasikia huyo huyo ndio atakuibia mumeo ,ndio atakuchonganisha,ndio atapeleka siri zako mtaani hayi sitaki kabisa usumbufu MY FAMILY IS MY BEST HONORABLE FRIENDS THEY NEVER HESITATE ME ,napenda sana ,kwanini niliamua haya maisha :nilikuwa na rafiki yangu kipenzi sana na alikuwa anajua little of my secrets siku mja tukatofautiana alinitukan na matusi yalibase to my secrets she has ,sikumtukana ila nilimwambia thanks kwakunisaidia kumalizia recomendation na concluusion ya research yangu toka hapo siongei na mwanamke yyte maneno mawili na nikikushtukia niko radhi nikufukuze kwangu,akabaki mmja hiviakawa anangangana kujua kwangu ilhali binafsi sijamkaribisha kwangu nikampa black and white tukabaki normal frends,thats is my life stayle dont try at home mimi naweza wewe inawezekana usiweze.
kweli my mjini hapa...kuna watu mapepe kweli..unatoka nae anaagiza miller sijui nini wakati mwenyewe unakunywa maji tu..shame
 
wallah! vile..me nahisi kuna siku ntamkwarua mtu macho!!God help me
teh yaani unajuta umevaa kimtego kwa nini? loh mibazazi bana...kwangua
 
AAAAAAaaaaaa Smile nitake radhi tafadhali....si ndio maana nimekuambia nimekosa mlango nikakuta nshaingia ndani nikaone niwape hi nilowakuta nikatimua mbio na sikuchangia??? Nasubiri kuombwa radhi kabla sijaenda mahakamani....
ukweli unaujua mwenyewe bana
 
Sasa we ulitupia kumtega nani bibie si watu kama yeye
 
Back
Top Bottom