Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ahsante sana, hapo nshajidai mi sijaona msg, mara kuna mtu nliongea nae anatuma pesa ndio nkajua kanitumia nishaitoa, sina lolote wala sikua na ahadi ya pesa.....yani nilivurugika kwakweli š[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana.