Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ahsante sana, hapo nshajidai mi sijaona msg, mara kuna mtu nliongea nae anatuma pesa ndio nkajua kanitumia nishaitoa, sina lolote wala sikua na ahadi ya pesa.....yani nilivurugika kwakweli 😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana.
Inshort wanaokosea wawe na adabu, ukijua umekosea basi fanya umetoa sadaka[emoji1787][emoji1787]Ahsante sana, hapo nshajidai mi sijaona msg, mara kuna mtu nliongea nae anatuma pesa ndio nkajua kanitumia nishaitoa, sina lolote wala sikua na ahadi ya pesa.....yani nilivurugika kwakweli [emoji16]
Ni kweli hapokei kwangu tu, kuna wanaume wengine wanamtumia piaPole sana, uwe unampaga taarifa, sababu inawezekana hapokei kwako tu...
Yaani binti wa watu unamtafutia kesi ya bure dah! Kama unampenda basi achana kabisa na tabia hii ya kuweka hii mitego yako ya kiutopolo topolo hii. Utakuja kumpoteza kwa uboya wako na inferiority complex yako...
Kwanza boya mwenyewe, kuhsu inferiority complex ni mtazamo wako. Ni uamuzi wangu kumpima mwanamke wangu, kwa sababu ni mimi ntaishi nae sio wewe. Ndio nyie mnasema wake za watu wanagongwa sana. Kumbe umalaya walikua nao toka zamani.