Kwa Wanawake: Vaa viatu vinavyoendana na umbo la miguu yako

Kwa Wanawake: Vaa viatu vinavyoendana na umbo la miguu yako

1fab6fd2a4ad2056efea14efd74cb819.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
napenda viatu kuliko chakula ,nikiona kiatu kizuri nanunua tu nina viatu sijui pea ngapi hata sivai sijui nimelogwa mie
Same to me dear...nahisi nina ugonjwa wa viatu kwa kweli...tatizo nikishavaa hamu ya icho kiatu inatoweka kabisa inabidi nigawe...Ila kwa hali ya sasa ilivyo inabidi kujifunza jinsi ya matumizi yasiyo na lazima...Napenda kuvaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Same to me dear...nahisi nina ugonjwa wa viatu kwa kweli...tatizo nikishavaa hamu ya icho kiatu inatoweka kabisa inabidi nigawe...Ila kwa hali ya sasa ilivyo inabidi kujifunza jinsi ya matumizi yasiyo na lazima...Napenda kuvaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
maisha yalivo hata mimi nimeacha nanunua at least kiatu kimoja kwa mwezi. yaani mimi viatu na vipodozi hee yaani nisione !!!!! bora nikose hela ya kula kuliko nikose vipodozi vizuri na viatu vizuri. nguo sinaga interest sana maana nipo selective sana.
 
Back
Top Bottom