Poa poa le superstarSuperstar...mambo vipi?
Mchepuko wangu...Lord have Mercy!
Sawa GuruOld schools techniques and then uki integrate na new age technology (hapa nazungumzia baada ya simu kuja) hukwami sana.
Ingawa kwa umri wangu sasa hivi haya mambo yameshapita.
Hahaa unavyo pretend sasa !!! DahhHahahaha, we sikuwezi Mkuu
MTC | 101| [emoji769]
Hahaa mixer na hao hao ...Hahahaha, ma -gentleman ndio wale wazee wa laki ya lunch tigo pesa?
MTC | 101| [emoji769]
Abee
Nakubaliana na wewe kabisa.Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
HahaMimi kuna mtu ananisumbua sana moyo wangu humu jukwaaani. Anajijua kabisa lakini ndiyo ananipotezea tu! Naumia kweli
wengine hatunaga uvumilivu, ukizungushwa mara kadhaa unaachana naye[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]jamani kaah!kuzungushwa hupendi?
Mwingine si km anakua hakutaki Bali hua analeta pozi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hatuna bahati za kuzaliwa.