MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mwaga noti mzee papuchu utaila kiulaini sanaKuna demu nipo nae kitaa, nilitongoza akanikubalia muda huohuo, sasa wiki imepita sijapewa papuchi.
nazungushwa tu! Hii imekaaje wadau maana mi sijazoea kucheleweshewa tamu iyo.
Hahaa nadhani itakuwa una-tania .. kuna watu mna nyota zenu humuMimi nina nyota ya Upadri..
Mwenye nyota sasa ni Wick , mimi ni Padri. Totoz zote za humu zinanikimbiaga tu, wala hazijibugi PM nikizitumia. Hebi nipeni maujanja basi na mimi ning'aeHahaa nadhani itakuwa una-tania .. kuna watu mna nyota zenu humu
Wick
Sent using Jamii Forums mobile app
Tema mate nimchape. Ataniteseaje kaka yangu hivyo[emoji134][emoji134]Mimi kuna mtu ananisumbua sana moyo wangu humu jukwaaani. Anajijua kabisa lakini ndiyo ananipotezea tu! Naumia kweli
Ananitesa sana, moyo wangu! Ananikimbia kimbia tu....Tema mate nimchape. Ataniteseaje kaka yangu hivyo[emoji134][emoji134]
Hahaa - labda tumuambie Wick atupe maujanja ...maana mimi nawewe sidhani kama kuna wa kumcheka mwenzieMwenye nyota sasa ni Wick , mimi ni Padri. Totoz zote za humu zinanikimbiaga tu, wala hazijibugi PM nikizitumia. Hebi nipeni maujanja basi na mimi ning'ae
Live mzee, live.Hahaa - labda tumuambie Wick atupe maujanja ...maana mimi nawewe sidhani kama kuna wa kumcheka mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe kazi my kaka, hatokukimbia tena.Ananitesa sana, moyo wangu! Ananikimbia kimbia tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Itabidi iwe hivyo, utakuwa umenisaidia sana.Nipe kazi my kaka, hatokukimbia tena.
SawaMwaga noti mzee papuchu utaila kiulaini sana
Sasa love connect ndio angekuelewa?Itabidi iwe hivyo, utakuwa umenisaidia sana.
Maana nilikuwa na mpango wa kwenda Love Connect.
Nilitaka kujaribu bahati yangu.Sasa love connect ndio angekuelewa?
We nipe kazi tu, nakuahidi sitokuangusha.
hebu subiri kwanza kwamba mie ni padre au nina nyota?..Hahaa nadhani itakuwa una-tania .. kuna watu mna nyota zenu humu
Wick
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh! Basi usijaribu tena, we nipe kazi tu.Nilitaka kujaribu bahati yangu.
Toka lini mafahali wawili wakakaa zizi moja!?..Hahaa - labda tumuambie Wick atupe maujanja ...maana mimi nawewe sidhani kama kuna wa kumcheka mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ntafanya hivyo.Oooh! Basi usijaribu tena, we nipe kazi tu.