Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kuna demu nipo nae kitaa, nilitongoza akanikubalia muda huohuo, sasa wiki imepita sijapewa papuchi.

nazungushwa tu! Hii imekaaje wadau maana mi sijazoea kucheleweshewa tamu iyo.
Mwaga noti mzee papuchu utaila kiulaini sana
 
Aidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.

Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.

Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.

NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mada nilikuwa sijaisoma, walah nimecheka.
 
Back
Top Bottom