Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Umeamka vizuri kabisa, huwa wanaanza kukueleza shida zake kabla ya kukupa jibu, ukimwambia nijibu kwanza anakwambia uwe na subira, au vitu vizuri havitaki haraka badae akisha kula utasikia nina mtu nasubiri kwanza anijibu kama yuko tayari tuachane mwisho wa siku anakwambia jamaa amegoma. huku akiwa ameshakulia hela ya kutosha. ahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…