Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nakazia hapo kwenye kukataa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante!!!Nakazia hapo kwenye kukataa.
Nakazia hapo kwenye kukataa.
Umeamka vizuri kabisa, huwa wanaanza kukueleza shida zake kabla ya kukupa jibu, ukimwambia nijibu kwanza anakwambia uwe na subira, au vitu vizuri havitaki haraka badae akisha kula utasikia nina mtu nasubiri kwanza anijibu kama yuko tayari tuachane mwisho wa siku anakwambia jamaa amegoma. huku akiwa ameshakulia hela ya kutosha. ahahaAidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Hahahaha, Mkuu hata weye unanipigilia misumari ? Dah kweli mmeniamulia
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha, mkuu file lako si lipo kwa Mambosasa.
Hahahaha, doh ,linahusu nn tena Mkuu
MTC | 101| [emoji769]
Babu Asprin ndiye aliyelipeleka huko, nadhani hata RB anayo yeye.
Mkali nasema naye halafu ananikimbia.Watoto wa “Mujini” wanakwambia, sema nae!
Raynavero mambo, nakutafuta sana.
Bila PM hakuna JF.Hahahaha, Mzee wa PM sio
MTC | 101| [emoji769]
Bila PM hakuna JF.
Hauko peke yakk, tupo wengi.Hahahaha, kwa kweli ,ila wengine hatuna 'bahati' nazo kabisa
MTC | 101| [emoji769]
Hauko peke yakk, tupo wengi.
Bas fanya kweli nikufungulie uzi namieWala...sijaanza leo kukusingizia mbona.
Anakula kisha anakaa kimya.
Mie huyooo