Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Mwanamke kumtongoza akakubalia inategemea kabisa naww mwenyewe utakavyokua umemsisimua kupitia mtongozo.


Lkn hilo nimoja...pili..kuja kukupa mzigo, inachukua karibu miezi mitatu ndo ajihisi huru kukupa mzigo "hawani wale wanaojielewa sana"

Lkn pamoja nakujielewa. Bado we kidume unaweza pata mzigo ndani hata ya siku mbili tatu tokea akukubalie au tokea umtongoze nabado akawa hajakuweka wazi kua kakubali au lah.
 
Kueleawa ni zaidi ya kumiliki taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…