Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kwamba wewe ni domo zege nikujibu lile ombi lako fastaHahahaha kitu gani tena Rafiki ?
MTC | 101| [emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wewe ni domo zege nikujibu lile ombi lako fastaHahahaha kitu gani tena Rafiki ?
MTC | 101| [emoji769]
Kwamba wewe ni domo zege nikujibu lile ombi lako fasta
Hahaha hahaha hahahaHahahaha, sasa haya masihara, ila ukweli ndio huo Rafiki, ndio maana tunakua kimya tu humu
Naona sasa unakua wewe ndio mchochezi na mchokozi sasa
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha hahaha hahaha
Basi sichochei tena ila nitakujibu leo weekend
Au nikujibu jumatatu jioni
Au nikujibu jumatatu jioni
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hapana jamaniiiHahahaha, umefurahi kuona nimemtaja wako wa ubani Mr @hearly
MTC | 101| [emoji769]
Kueleawa ni zaidi ya kumiliki taasisiAidha unakubali au hautaki. Hizi mbio za kukimbizana kama njiwa zinakuwa nyingi kichizi halafu zinakera.
Nikikutongoza angalau zisipite siku tatu, sana sana labda nikikutokea Ijumaa kabla ya jumatatu nipe jibu la kueleweka, hutaki au unataka.
Tunapynguza kupotezeana muda na hisia zinaweza kupungua.
NB: PM pia mjitahidi kujibu kwa wakati masaa matatu ni mengi saana. Asanteni.....
Hapana jamaniii
Kwa nilivyoelewa huo ujumbe ni wa mtu
Upo peke yako.Tuko wangapi?
Maana nimeona PM haiji nikajua atakuwa amejibiwa mwingine hapa.
Sawa dogo.