The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
CC: Moderator..naomba access za Pm ya mtu chake pleaseHahahaha, hapana sijawahi lilipenzi hata ,na siwezi
MTC | 101| [emoji769]
Hutaki niende.
Unataka nije.
Na zako pia japo unajifanya hazipo. Hata mitetea siku hizi hai-sprint ina jog
Hahaa ukiendelea kubaki atakugeuza baba yakeHahahahaha.
Akishakupa mzigo unakata mrija sio, atakulaani hatari.
Usikute umeshaita Ambulance hapo .. imepaki nje .... hahaa unasubiri Moderator anipe access uzimieHahahaha, tena afanye haraka sana
MTC | 101| [emoji769]
Kabisa mkuu'' haupaswi kuwa mtumwa wa hisia zako ... katika kila jambo iachie nafasi akili yako ndiyo iwe inaamua hatima yakoNa kweli mkuu, msingi ni mtu kuweka mindset yako sawa
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Hahahaha, nipo nakula ugimbi ,wasichelewe kukupa sasaUsikute umeshaita Ambulance hapo .. imepaki nje .... hahaa unasubiri Moderator anipe access uzimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa Aisee .... hiyo inafanya kazi haraka sana ... mimi mwenyewe niliitumia baada ya kupewa hints na mtu chakeHii theory yako ya campaign nimeielewa. Nitailetea mrejesho.
Hahaa Aisee .... hiyo inafanya kazi haraka sana ... mimi mwenyewe niliitumia baada ya kupewa hints na mtu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ma-soldier mnawapenda saana wanachuo? Kwanini?Kuna kamwanachuo karembo nimeshakaambia moyo umekadondokea ila kamenambia katanipa jibu baadae bado kanafikiria!!
Hapa nilishafika Chalinze narudi zangu Handen kwa Gondwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpunguze mbio tutashindwa kuwadaka...umri nao unasonga...au tuwamwagie mtama?
Mimi majibu yanamna hiyo sijui nitakujibu banda nilisha ya sahau ..Kuna kamwanachuo karembo nimeshakaambia moyo umekadondokea ila kamenambia katanipa jibu baadae bado kanafikiria!!
Hapa nilishafika Chalinze narudi zangu Handen kwa Gondwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa .. nilijua tu . Huwaga haupendi wadau wajue kuwa wewe ni master wa haya mamboHahahaha, khaa Mkuu hebu niache nipumue, muda wa game huu Tp Mazembe vs Contantine
Baadae kdg
MTC | 101| [emoji769]