Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kuna kamwanachuo karembo nimeshakaambia moyo umekadondokea ila kamenambia katanipa jibu baadae bado kanafikiria!!


Hapa nilishafika Chalinze narudi zangu Handen kwa Gondwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi majibu yanamna hiyo sijui nitakujibu banda nilisha ya sahau ..

Mwanamke wa kuanzia age ya miaka 23s ..huwa hatongozwi unamzoea kidogo unaonganisha masihara masihara .. akikupa namba zake ... mkiwa mnafanya convo unaanza kumuunganishia kumuita yale majina matamu

Baby .mpenzi .mke wangu..sweet .etc .. huku unamsifia Sifia ... ghafla utashangaa tu anajiingiza kwako mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom