Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Kwa wanawake: Wanaume tuliowengi tunapenda majibu ya moja kwa moja.

Hahahaaha mkuu hujawahi kuwaona ndugu zetu wa kiume wale wapendwa wazee wa Bwana asifiwe wanakuaga na mapenzi ya kweli yani anaweza fukuzia demu toka demu akiwa mwanakwaya, anapanda cheo anakua mjumbe wa kanisa, mpaka demu anakuja kua mlezi wa watoto bado jamaa anafukuziaga tu
Miaka 4..!? Itakuwa huyo mtu hajielewi aise .. mimi week 2,.. kama haueleweki nageuza gari

Sent using Jamii Forums mobile app

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
Hahahaha, Mkuu huwa unatuma Sana miamala nn
Hahaa ...hapana pesa kama chambo kwenye ndoano ... ukimpa anaingia tamaa ya kuzipata nyingi anaanza kuzifuata ...

Ukiona mwanamke ametumiwa pesa akazila na kukaa kimya ...basi tambua kwamba huo muamala aliotumiwa ulikuwa ni wahela ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app

MTC | 101| [emoji769]
 
tafiti znaelekea kuhitimisha kuwa nowadays girls hawapendi kusumbuana barabaran au kwenye just mkaribishe ghetto au mualike dinner...eti ooh....nakupenda x3 ...unarudia ka matangazo ya vifo...u are lost my dear

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh..kadinner kisha gheto shughuli imeisha.

Ngoja nijaribu hii...huku kwetu hata dinner hatuijui watoto na wanawake wanakula kwanza kisha wanaume tunafuatia..

Sasa nikiobekana nakula na mwanamke si nitatengwa!
 
Hahahaaha mkuu hujawahi kuwaona ndugu zetu wa kiume wale wapendwa wazee wa Bwana asifiwe wanakuaga na mapenzi ya kweli yani anaweza fukuzia demu toka demu akiwa mwanakwaya, anapanda cheo anakua mjumbe wa kanisa, mpaka demu anakuja kua mlezi wa watoto bado jamaa anafukuziaga tu

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
Haha hao ndio wakiachwa unasikia kuwa wameua mtu au wamejinyonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa ...hapana pesa kama chambo kwenye ndoano ... ukimpa anaingia tamaa ya kuzipata nyingi anaanza kuzifuata ...

Ukiona mwanamke ametumiwa pesa akazila na kukaa kimya ...basi tambua kwamba huo muamala aliotumiwa ulikuwa ni wahela ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.

Wazee baba mnanipotosha aseeh.

Kwa hiyo nitume mzigo mzito kwa tigopesa?
 
Hahaha.

Wazee baba mnanipotosha aseeh.

Kwa hiyo nitume mzigo mzito kwa tigopesa?
Hahaa mzigo mkuu ... na wala haupigi simu kuuliza umeiona ... una ji-keep busy hatari ....

Mtoto wa kike anajiuliza hapa sijatoa mambo tu .. nimetumiwa huu mzigo ...what if nikija kutoa si atanipangia nyumba nzima huyu ....

Kumbe hajui kuwa wewe unafanya kampeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, we jamaa Mkali
Hahaa mzigo mkuu ... na wala haupigi simu kuuliza umeiona ... una ji-keep busy hatari ....

Mtoto wa kike anajiuliza hapa sijatoa mambo tu .. nimetumiwa huu mzigo ...whay if nikija kutoa si atanipangia nyumba nzima huyu ....

Hahahahaha.

Akishakupa mzigo unakata mrija sio, atakulaani hatari.
 
Back
Top Bottom