Kwa wanawake wote mliofunga PM

Sasa nasikia kuna wanaume nao wamefunga PM! Najiuliza nao wanaogopa kutongozwa? Wanatongozwa sana? Wanapigwa mizinga sana? Akili yangu inaniambia ni attention seekers tu
Mkuu, ukiona humu mwanaume amefunga PM yake, basi amini kabisa kwamba huyo mwanaume pia anapaka poda na kujipodoa kama dada zake.
Yalio baki malizia mwenyewe kwa akili yako please.....
 
Mkuu, lakini mimi naamini kwamba hao wa kwenye daladala za posta-mwenge, mbagala, sinza, tabata na kadhalia.... ndio hawa hawa tunao pishana nao humu ndani kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…