Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kwa wanawake wote mliofunga PM

Sasa nasikia kuna wanaume nao wamefunga PM! Najiuliza nao wanaogopa kutongozwa? Wanatongozwa sana? Wanapigwa mizinga sana? Akili yangu inaniambia ni attention seekers tu
Mkuu, ukiona humu mwanaume amefunga PM yake, basi amini kabisa kwamba huyo mwanaume pia anapaka poda na kujipodoa kama dada zake.
Yalio baki malizia mwenyewe kwa akili yako please.....
 
Duuu hivi kwa akili ya kawaida unaweza kumzimikia so called dada wa JF kwa kuangalia Avatar? Hivi ushawahi panda kwenye daladala za posta mwenge? Kama unataka demu pendelea kupanda magari hayo utaopoa wa ukweli achana na hawa wa kwenye avatar unaweza kukutana na POLYGON.
Mkuu, lakini mimi naamini kwamba hao wa kwenye daladala za posta-mwenge, mbagala, sinza, tabata na kadhalia.... ndio hawa hawa tunao pishana nao humu ndani kila kukicha.
 
Back
Top Bottom