Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika ndugu yangu.Sawa maana dunia ina kila aina ya watu inawezekana wengne wakawa wema na wengne wakawa wabaya hapo ndipo panaleta kufungwa kwa PM za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ndugu yangu.Sawa maana dunia ina kila aina ya watu inawezekana wengne wakawa wema na wengne wakawa wabaya hapo ndipo panaleta kufungwa kwa PM za watu
Wee wa kwako unataka akwazike?😎Saafi!! Na hupendi akwazike. Kama ni hivyo funga tu Dada.
Samahani mkuu, kwani niliwahi kukutongoza huko PM..!!??Unaongoza kwa 'unafiki'
Kabla hujafunga jibu PM yangu.Zinafungwaje hizo PM nifunge yangu....
Naunga mkono hoja...teh[emoji28]I’m taken hivyo nimeifunga
Kabla hujafunga jibu PM yangu.
Tupo wengi mkuu...teh[emoji28]Nilidhani niko peke yangu.
Una sababu gani ya kufunga? Wasiliana na Moderator
Duuh!!!Kuna mtu namvizia afungue hata hafungui
Kabisa mama mchungaji...Wewe tena. 😀😀
Mkuu, ukiona humu mwanaume amefunga PM yake, basi amini kabisa kwamba huyo mwanaume pia anapaka poda na kujipodoa kama dada zake.Sasa nasikia kuna wanaume nao wamefunga PM! Najiuliza nao wanaogopa kutongozwa? Wanatongozwa sana? Wanapigwa mizinga sana? Akili yangu inaniambia ni attention seekers tu
Mkuu, lakini mimi naamini kwamba hao wa kwenye daladala za posta-mwenge, mbagala, sinza, tabata na kadhalia.... ndio hawa hawa tunao pishana nao humu ndani kila kukicha.Duuu hivi kwa akili ya kawaida unaweza kumzimikia so called dada wa JF kwa kuangalia Avatar? Hivi ushawahi panda kwenye daladala za posta mwenge? Kama unataka demu pendelea kupanda magari hayo utaopoa wa ukweli achana na hawa wa kwenye avatar unaweza kukutana na POLYGON.
Duuh!!! Hivyo Baba Mchungaji kitufe cha kufunga PM kiliwekwa kwa ajili ya wanawake pekee?Mkuu, ukiona humu mwanaume amefunga PM yake, basi amini kabisa kwamba huyo mwanaume pia anapaka poda na kujipodoa kama dada zake.
Yalio baki malizia mwenyewe kwa akili yako please.....
AsanteHakika ndugu yangu.
OooohMkuu, ukiona humu mwanaume amefunga PM yake, basi amini kabisa kwamba huyo mwanaume pia anapaka poda na kujipodoa kama dada zake.
Yalio baki malizia mwenyewe kwa akili yako please.....