Kwa wanawake wote mliofunga PM

Wepesi kama karatasi duuh
 
Mkuu....
Hapa ndipo namimi kilio changu kikubwa kilipo
🀣🀣🀣🀣 Baba Mchungaji nasikia mkifunguliwaga huwa hamkawii kubadili gia angani.

Na nyie Me si ndio waumini wa ile kauli eti hakuna urafiki / ukaribu baina ya Me na Ke lazima kuwe na kiunganishi kati au kisipokuwepo basi kitawasilishwa baadae tena na wengine nasikia hadi wanatumaga na viemoj vya kulia eti ilimradi tu wapate huruma. 🀣🀣🀣🀣
 
Avatar Avatar Avatar
 
Gia angani

Kwanza mwanaume kutongoza ni jadi

Mwanamke kutongozwa ni suna

Ila inafuatana nini kimeendelea baada ya kufunguliwa pm

Maana sio kila anae tongoza ana nia ya ktongoza wengne ni kama kuongeza nguvu ya mawasiliano
 
Daah!! Naona umewaamulia Baba Mchungaji.

Ishia hapo hapo kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…