Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ndio ni sehemu ila wataalam wanasema mtu akipanga kukupata anakupata kirahisi bila pm wala namba yako ya simuKumbe eee? Lakini huko piyemu pia ni kijisehemu nacho ndugu.
😂😂😂😂Pole ila usijali ni kumwambia popote ukimkuta anachangia unamwambia tu una shida nae
Ila hii inawezekana kwa wachache sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ndugu yangu. 😅😅😅Wepesi kama karatasi duuh
Muda mrefu sana anakuulizia, Leo aseme shida yake. Kasema eti ujibu pm yake.
We Nokia83 kuja hapa useme shida yako
Kama kweli vile mkuuDahhh...
Pole sana comrade, maana hata mimi ni muhanga mkuu wa hili linalo kusibu.
Yaani tangu nijiunge humu Jf, sijawahi kubahatika hata onetime kupata mawasiliano ya huko PM kwa walimbwende wa humu aiseeee
Hakuna mwanaume mwepesiNdio ndugu yangu. [emoji28][emoji28][emoji28]
Nakubaliana na wewe ndugu.Gia angani
Kwanza mwanaume kutongoza ni jadi
Mwanamke kutongozwa ni suna
Ila inafuatana nini kimeendelea baada ya kufunguliwa pm
Maana sio kila anae tongoza ana nia ya ktongoza wengne ni kama kuongeza nguvu ya mawasiliano
Aachane na wewe aungane na nani tena?Hebu aachane na mm...!pls!
Bro unakwamaaaaaaHata mimi pia.. unabakia tu kudondosha mate tu kama mbwa alieona kipande cha nyama afu bahati mbaya kafungwa.
Life is not fair
Ndio wanaofunga hayo ma-pmKumbe kuna wabaya pia?
WeweAachane na wewe aungane na nani tena?
[emoji38][emoji38][emoji38] haya mamiiHebu aachane na mm...!pls!
Nimefunga kweli Mtani. Ahsante tushapoa na kwa sasa tunaganga ya VPL sasa.Ndo nimeangalia muda huu nikakuta kufuli, BTW poleni kwa kutolewa juzi.
Mmejitahidi lakini.
Yako umeifunga shadeeyaDada wanasemaga eti ukitokewa kwani huwezi kukataa na kusema ushawahiwa?
Pia nasikiaga wengine wanasemaga eti si kila anayekuja huko anakuja kwa ajili ya mtongozo eti hivyo ikaage tu wazi. 🤣🤣
Sawa nduguNakubaliana na wewe ndugu.
Hicho kama hicho kiparagirafu cha mwisho nimekielewa sana tu. [emoji120][emoji120]
Nakwama wapi kiongozi? ?Bro unakwamaaaaaa
Kumbe ni vizur twende sawa tuWewe
Ukimaanisha nini ndugu Kwamba Ke wanafungua au ndio wanapotezea hizo kauli na kuendelea na makufuli yao?Ila hii inawezekana kwa wachache sana